Nawezaje kubadili combination

Lineth25

New Member
Joined
Jan 2, 2024
Posts
2
Reaction score
0
Mimi ni mwanafunzi kidato cha tano PCB anayetaka kubadilisha combination kutoka PCB kwenda PCM. Nimejaribu kuongea na mkuu wa shule amesema nimechelewa kwa kuwa sasa hivi wameshaenda mbali, naomba msaada nifanyeje? vipi kama naweza kusoma mathematics mwenyewe kucover hizo topics?
 

Unataka ku achieve nini?
Kama lengo ni kusoma Engineering or something oriented Unaweza after form six na kwa maelezo zaidi niandikie kupitia whatsApp
+255755489800
 
Unataka ku achieve nini?
Kama lengo ni kusoma Engineering or something oriented Unaweza after form six na kwa maelezo zaidi niandikie kupitia whatsApp
+255755489800
Andika hapa kwa faida ya wote mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…