Nawezaje kubadili saini yangu ya Benki ili ifanane na ya Kazini?

NIMO PRDCTZR

Senior Member
Joined
Feb 10, 2016
Posts
146
Reaction score
83
Naomba kujua namna ya kubadilisha saini iliyopo kwenye taarifa zangu za kibenki kwani sasa natumia saini nyingine kazini. Ile ya benki Ni kabla ya kuajiriwa.
 
Nenda bank na details zako ulizofungulia account kuna form watakupa utajaza then wanabadilisha kwenye system kazi ndogo sana hiyo tunazifanya kila siku
 
Back
Top Bottom