FredMaria
Member
- Oct 2, 2020
- 53
- 55
Habar wana JF.
Kulingana na wizi uliokithiri katika jamii zetu imenivutia kutaka kujua je KADI FEKI za vyombo vya Moto hususa Ni Pikipiki utazifaham vp..?!! Kuna fununu kadhaa watu wanadai wezi wa Pikipiki Wana connection kubwa na watu wanaotengeneza Kadi hizo..
Suala la kununua pikipiki Used Dar hasa kwa watu wa mikoani linashika nafasi Sana ila hofu ni utajuaje Kama mali uliyonunua Ni halali Ingawa ina documents zote muhimu za chombo hicho.
Ni kwa Dar ambako inaonekana wengi wanatekwa wengine wanauawa na pikipiki zao zinabadilishwa Usajili Pamoja na kutengenezwa Nakala ya Kadi ya Pikipiki hiyo..
Nina balance ya 1 mil nahitaji boxer ya Mo ila Shaka yangu ni juu ya kubambikiwa kadi Copy..
Msaada katika Hilo wana Jf.