fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Naomba msaada kwa mtu mjuzi, jinsi ya kubandua karatasi za chapati redi medi, kila napobandua, naweza upande mmoja, napojaribu kubandua upande wa pili shepu ya chapati inaharibika, wajuzi niambieni nifanyeje?