Nawezaje kubandua Chapati za Redi Medi

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
Naomba msaada kwa mtu mjuzi, jinsi ya kubandua karatasi za chapati redi medi, kila napobandua, naweza upande mmoja, napojaribu kubandua upande wa pili shepu ya chapati inaharibika, wajuzi niambieni nifanyeje?
 
Unachofanya kwenye upande wa kwanza fanya hvy hvy kwenye upande wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…