The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Mkuu hukupewa Termination letter?Heshima kwenu,
Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi.
Kuna 5M NSSF, Tuelekezane jamani wenye shortcut za kutoa hela NSSF.
Nawasilisha
Ningekupa code ila wengine humu ni wakuda mtachoma picha
Mkuu hukupewa Termination letter?
Hiyo ni pesa yako sio yao.. Jukumu lao wao ni kukupa barua ya kuacha kazi na si vinginenyoHeshima kwenu,
Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi.
Kuna 5M NSSF, Tuelekezane jamani wenye shortcut za kutoa hela NSSF.
Nawasilisha
Hiyo ni pesa yako sio yao.. Jukumu lao wao ni kukupa barua ya kuacha kazi na si vinginenyo
Hapo ni sawa kabisa kwenda NSSF sana kwani umekwama wapi?Mm ndo niliacha kazi mkuu, So nilipewa resignation acceptance letter na mqajiri pamoja na certificate of service.
Hapo ni sawa kabisa kwenda NSSF sana kwani umekwama wapi?
Hiyo hela utapewa hata baada ya miaka mitatu. Tena utapewa hela kidogo mno. Pambana tu kutafuta cha kufanya mwanangu.
Kuna uzi humu aliweka Binti wa zamani ni kwamba fao la kujitoa limerudi kisheria ila hawatangazi kwahio unaweza kupewa hela yako yote. Tafuta huo uzi uusome vizuri.Heshima kwenu,
Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi.
Kuna 5M NSSF, Tuelekezane jamani wenye shortcut za kutoa hela NSSF.
Nawasilisha
Cha kufanya kipo, lkn na hii hela naitaka 😁, kumwachia Mwigulu hizi senti zangu roho inaniuma
Sheria moja ya kipuuzi sana hizo sio pesa zao ni zako.. Ni makato ya ujira wako halali.. Ukiweza rudi kwa mwajiri akubadilishie baruaSheria inasema kama umeacha kazi mwenyewe hupewi hata 100, Ila kama mwajili kakufukuza au mkataba umeisha.
Afadhali sana! Maana walikuwa wanafanya dhuluma kubwa sana!Kuna uzi humu aliweka Binti wa zamani ni kwamba fao la kujitoa limerudi kisheria ila hawatangazi kwahio unaweza kupewa hela yako yote. Tafuta huo uzi uusome vizuri.