masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
Hatua ya kwanza
Nenda NSSF
tawi la karibu na ulipokua unafanya kazi
Hakikisha una card yako
Utapata mtu aliyekua anawashuhulikia kazini
Kwenu
Ndo utajua taarifa zako na mpunga kama uliwekwa
Maana huwa wanakata ila hawapeleki
Sasa hapo kazi imeishampunga upo mkuu, kika mwezi mm naangalia kwenye app kama Tajiri kaweka.
Tajiri yangu alikua ni Mzungu hana kona kona kama Kanjibai
Dunia ina maajabu yake, yaani pesa umetunza inakatwa NSSF kwa ajili ya kutesea wananchi. Yaani mtumishi haruusiwi kuacha kazi kufanya mambo mengine including kujitibia.Sheria inasema kama umeacha kazi mwenyewe hupewi hata 100, Ila kama mwajili kakufukuza au mkataba umeisha.
Dunia ina maajabu yake, yaani pesa umetunza inakatwa NSSF kwa ajili ya kutesea wananchi. Yaani mtumishi haruusiwi kuacha kazi kufanya mambo mengine including kujitibia.
Then bado tunajiita viongozi na wasome walikaa wakafanya upembuzi yakinifu kubaini faida ya kutokulipa mtumishi pesa yake.
Unachagua tabu ambazo mambo yakienda vizuri ni bingo, sasa tabu nyingine hata ukistaafu Hali ni ile Ile.Kila kitu kina Taabu zaake, Hata walio jiajili kutwa kusumbuana na TRA na mamlaka nyingize za akina Zakayo.
Muhimu ni kuchagua Taabu za kutaabika nazo.
Aaah wapi mkuu...usubiri mwisho wa mwezi, hiyo tabu siwezi...Wewe hujaajiriwa?
Ni kweli lkn sheria ya nchi sasa ni ya kijingaZile pesa ni zake
Alikua anakatwa kwenye mshahara na ni haki yake kupata
Either ameacha kazi au ameachishwa
Unachagua tabu ambazo mambo yakienda vizuri ni bingo, sasa tabu nyingine hata ukistaafu Hali ni ile Ile.
Hata kama Ali resign ? Ni possible kupata hela? Kwa kuandika barua?Sasa hapo kazi imeisha
Kamtafute huyo aliyekua anawashuhulikia ofsini kwenu
Usiende makao makuu watakurudisha
Ila pia kuna mawili
La kwanza barua ya mwajiri inahitajika
Na pia mpunga kabla haujawekwa kwenye account yako wanampigia muhasibu wa ofsini kwenu
Sasa kuna maelekezo utapewa na huyo jamaa wa NSSF ila kama hukuondoka vibaya kachukue barua,salary slip kadhaa za mwisho za mshaara
Card yako
Utaandika ba barua ya kuhitaj hizo pesa
Sio ngumu wala nin mpunga ukiwa kamili
So mtafute kwanza jamaa
BTW, hata Huku kwenye kujiajiri biashara nyingi hazitoboi miaka mitano, usipotoboa utatamani kupata ajira dadeki.Haya Mkuu, Ngoja sisi Tuendelee kupambana na Taabu tulizo Chagua
Lkn Sheria zinazuia kuzichukuaZile pesa ni zake
Alikua anakatwa kwenye mshahara na ni haki yake kupata
Either ameacha kazi au ameachishwa
Kweli sio rahisi kama watu wanavyodhaniBTW, hata Huku kwenye kujiajiri biashara nyingi hazitoboi miaka mitano, usipotoboa utatamani kupata ajira dadeki.
Mifuko iko strict sanaMwenyewe nilikua najua hivyo
Ila wanaozingua ni waajiri sio mifuko
Basi umejiajiri au unafanya biashara kienyeji. Wenzio tumejiajiri na tunajilipia NSSF kila mwezi kwasababu tuna mishahara kwenye biashara zetu.Aaah wapi mkuu...usubiri mwisho wa mwezi, hiyo tabu siwezi...
Basi umejiajiri au unafanya biashara kienyeji. Wenzio tumejiajiri na tunajilipia NSSF kila mwezi kwasababu tuna mishahara kwenye biashara zetu.
Sina haja ya kujilipa Kila mwezi...Nadhani uendeshaji wa biashara Una namna nyingi kuliko mtu unavyodhani, Kila mtu ana namna Yake kulingana na nature au structure ya biashara Yake.Basi umejiajiri au unafanya biashara kienyeji. Wenzio tumejiajiri na tunajilipia NSSF kila mwezi kwasababu tuna mishahara kwenye biashara zetu.
Ukihesabu hiyo hela anayokwambia anaingiza ni vichekeshoHii Nchi inavituko sana, Usishangae Dereva bajaji/Boda boda anamdharau Mwal. Kwa kujiona yeye amejiajili.
Au Winger/Content Creator sijui nae anataka mdharau Daktari kwa kujiona yeye amejiajili, sijui anaingiza hela kila siku.
Sheria Ipi inazuia mtu kuchukua akiba yake ???Sheria inasema kama umeacha kazi mwenyewe hupewi hata 100, Ila kama mwajili kakufukuza au mkataba umeisha.
Biashara rasmi vitu kama NSSF,Paye,SDL ni lazima sio option. Kinyume cha hapo biashara inaemdeshwa kienyeji au ndogo sana.Sina haja ya kujilipa Kila mwezi...Nadhani uendeshaji wa biashara Una namna nyingi kuliko mtu unavyodhani, Kila mtu ana namna Yake kulingana na nature au structure ya biashara Yake.