Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Kama ni mfanyabiashara kuliko kuweka Hela kwenye Nssf Bora uweke fixed account au UttBasi umejiajiri au unafanya biashara kienyeji. Wenzio tumejiajiri na tunajilipia NSSF kila mwezi kwasababu tuna mishahara kwenye biashara zetu.
NSSF ni takwa la kisheria. Kulipia NSSF haikuzuii kuweka fixed deposit au UTT au unafikiri walioweka fixed deposit au UTT hawana NSSF?Kama ni mfanyabiashara kuliko kuweka Hela kwenye Nssf Bora uweke fixed account au Utt
Ni kukosa maarifa
Mimi sio mfanyakazi tena mkuu , niliacha miaka kadhaa nyuma kuwa mfanyakazi wa firm nilioianzisha. Always sipendi kuwa mfanyakazi.Biashara rasmi vitu kama NSSF,Paye,SDL ni lazima sio option. Kinyume cha hapo biashara inaemdeshwa kienyeji au ndogo sana
Ulibet mkeka umechanika hujui maana ya NSSF au uliingia kichwa kichwa huko? Hujui hao jamaa ni sawa sawa na kampuni za betting yaan umeweka stake ili mkeka u-tick usikosee hata kipengele kimoja kikilowa damu kipengele hata kimoja tu hupewi hata shilling 1wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi.
Sawa.Mimi sio mfanyakazi tena mkuu , niliacha miaka kadhaa nyuma kuwa mfanyakazi wa firm nilioianzisha. Always sipendi kuwa mfanyakazi.
Huyu hapewi hata 100 moja yaan kwa hilo jibu alilopewa hata akienda mahakamani hawampi hata shilling 1NSSF ni takwa la kisheria. Kulipia NSSF haikuzuii kuweka fixed deposit au UTT au unafikiri walioweka fixed deposit au UTT hawana NSSF?
Ulibet mkeka umechanika hujui maana ya NSSF au uliingia kichwa kichwa huko? Hujui hao jamaa ni sawa sawa na kampuni za betting yaan umeweka stake ili mkeka u-tick usikosee hata kipengele kimoja kikilowa damu kipengele hata kimoja tu hupewi hata shilling 1
Huyu hapewi hata 100 moja yaan kwa hilo jibu alilopewa hata akienda mahakamani hawampi hata shilling 1
Heshima kwenu,
Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi.
Kuna 5M NSSF, Tuelekezane jamani wenye shortcut za kutoa hela NSSF.
Nawasilisha
Mi mwenyewe njaa kali..nyie ndo wenye nchi afu unajifanya kudai nssfMtoto wa samia unacheka nn, mwambie mama yako aachie hela za walala hoi
Kuacha kazi Kisha utafute Cha kufanya ni jambo la hatari sana. Usipoangalia Hadi bar made watakukimbia. Hilo Nina uhakika naloHeshima kwenu,
Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi.
Kuna 5M NSSF, Tuelekezane jamani wenye shortcut za kutoa hela NSSF.
Nawasilisha
Kuacha kazi Kisha utafute Cha kufanya ni jambo la hatari sana. Usipoangalia Hadi bar made watakukimbia. Hilo Nina uhakika nalo
Hakuna shortcut ila tuanze na umri wako,umefanya kazi miaka mingapi,una mpango kuhama nchi au kuendelea TZ?Heshima kwenu,
Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi.
Kuna 5M NSSF, Tuelekezane jamani wenye shortcut za kutoa hela NSSF.
Nawasilisha
njoo nikuajilri kwenye company yangu kisha nikufukuze ila utaacha 1M kwanguHapa nawaza, Nitafute business yeyote iniajili kwa miezi 3 inifikuze 😁 Shida biashara nyingi nazo zifahamu hazina Certificate of business name & Certificate of incorporation
Kweli shida za watu ni fursa 😁njoo nikuajilri kwenye company yangu kisha nikufukuze ila utaacha 1M kwangu
Kweli shida za watu ni fursa
Hakuna shortcut ila tuanze na umri wako,umefanya kazi miaka mingapi,una mpango kuhama nchi au kuendelea TZ?
njoo nikuajilri kwenye company yangu kisha nikufukuze ila utaacha 1M kwangu
Kuna uzi humu aliweka Binti wa zamani ni kwamba fao la kujitoa limerudi kisheria ila hawatangazi kwahio unaweza kupewa hela yako yote. Tafuta huo uzi uusome vizuri.
Kuna uzi humu aliweka Binti wa zamani ni kwamba fao la kujitoa limerudi kisheria ila hawatangazi kwahio unaweza kupewa hela yako yote. Tafuta huo uzi uusome vizuri.