Nawezaje kuchukua hela zangu zote NSSF?

Kazi Miaka 2.5, Niko kweny late 20'S Sina mpango wa Kuhama wala kukimbia Nchi.
Bado mdogo wewe 😁,NSSF sio savings account ni pension scheme ya kukulinda uzeeni au ukipata disability sio kukupa pesa ukiacha kazi, option yako ni kuhama nchi permanently au uwe jobless(years), lakini uzuri still ni pesa zako na in 20 years zinaweza kukua to even 30m, usijaribu shortcut za fake documents account yako inaweza kuwa forfeited na ukapewa fraud case
 

Nakuelewa Mkuu ila policy za hizi Government zetu Hazieleweki, Anaeza kuja kichaa mwingine 2030 Akaleta kikokotoo cha Ajabu mpaka Shetani mwenyewe akastaajabu.
 
Ongea na HR yako akubadilishie barua , kuwa umeachushwa KAZI kwa sababu kama wamepuza wafanyakazi

Hapo utaweza kupata pesa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…