Dimah _Denis
New Member
- Mar 8, 2024
- 1
- 2
Wakuu nilikuwa naomba kusaidiwa kwa wale wenye uzoefu.
Wote tunafahamu kuwa selection za kidato Cha tano zimetoka; ila nilikuwa nataka kuichukua uhamisho kwa mwanangu.
Kila nikimpigia Mkuu wa Shule nyingine anasema mpaka waripoti ndo wajue utaratibu.
Shule ina HKL ila yeye anataka yeyote yenye Economics.
Naombeni mnipe mawazo ili nichukue transfer kwa muda mfupi