Nawezaje kudistribute DStv Azam

Nawezaje kudistribute DStv Azam

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habarini

leo sina mengi naomben ujuzi nifanye nn ili niweze kudistribute dstv na azam katika vyumba ving ndan ya nyumba moja Na utaratibu upoje

ASANTEN
 
habarin

leo sina mengi naomben ujuzi nifanye nn ili niweze kudistribute dstv na azam katika vyumba ving ndan ya nyumba moja

na utaratibu upoje

ASANTEN

Kuna kitu kinaitwa splitter cha hdmi.

Mm ningetumia hicho, nenda maduka ya electronics utakipata. Though mm sio mtaalam wa hayo mambo, ila ningekuwa wewe basi ningetumia hicho kifaa na wire zake.

Ila subiri wajuzi waje
 
Upo sahihi, ila akibadili channel tu kote kunabadilika
 
Back
Top Bottom