Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 806
- 1,296
Lengo ni utumie app/website yao kuangalia hizo movie, uwe unastream ama unadownload.HESHIMA KWENU WAKUU
NAOMBA MSAADA, HIVI NAWEZAJE KUDOWNLOAD MOVIE ZA NETFLIX
YAAN NNA LAPTOP,NATAKA NIDOWNLOAD MOVIE KUTOKA NETFL;IX NA KULISAVE FILE LA IYO MOVIE KWENYE LAPTOP
HII INAWEZEKANA WAKUU? MAANA KILA NIKIJARIBU KUTAFUTA MAFILE YA MOVIE NILIYODOWNLOAD KWENYE SIMU KUTOKA NETFLIX SIYAONI
YAAN KUANGALIA MOVIE MPAKA NIINGIE KWENYE APP YA NETFLIX TENA, NAOMBENI MSAADA TAFADHALI
Hii njia hafanyi kazi kwa NetflixSijajua kama netflix wanaruhusu kudowload ila njia nyepesi ni kucopy link ya movie kisha past kwenye app ya kudowload
Mfano Vidmate, downloader, n.k kisha download kupitia kwenye App ya kudowloadia link uliyo copy netflix
Kwa njia hiyo hapati videos ila utapata jina la movie ila linakuja kwa mfumo wa filesKwenye FileManager ya Adroidphone hakikisha show hiden files ipo wazi
Location za movie nafikiri ni kwenye folder ya Adroid data maana ni mda kweli kutumia simu ya android na hii tricky
Tumia hii kwa laptop au desktopHESHIMA KWENU WAKUU
NAOMBA MSAADA, HIVI NAWEZAJE KUDOWNLOAD MOVIE ZA NETFLIX
YAAN NNA LAPTOP,NATAKA NIDOWNLOAD MOVIE KUTOKA NETFL;IX NA KULISAVE FILE LA IYO MOVIE KWENYE LAPTOP
HII INAWEZEKANA WAKUU? MAANA KILA NIKIJARIBU KUTAFUTA MAFILE YA MOVIE NILIYODOWNLOAD KWENYE SIMU KUTOKA NETFLIX SIYAONI
YAAN KUANGALIA MOVIE MPAKA NIINGIE KWENYE APP YA NETFLIX TENA, NAOMBENI MSAADA TAFADHALI
Mkuu nashukuru sanaTumia hii kwa laptop au desktop
Netflix Downloader Free Download
Netflix Downloader Free Download Latest Version for Windows. Awesome application for downloading and No complicated configuration required.igetintopc.com