Nawezaje kudownload video za Instagram kwenye simu ya Android

Tumia gb Instagram.....

Ni Instagram ambayo utaweza kudownload video zote za instagram na picha zinazopostiwa kirahisi mnoo..

Note gb Instagram haipo play store ipo Google store ...
 
Mi nadownload kutoka sehemu yeyote ile iwe twitter ,facebook , Instagram hata YouTube.

Ninachofanya nacopy link ya video then napaste kweny page ya "save fron net" ile ya online kwa kusearch google na sio apps. Natumia iyo kitambo zaidi ya miaka 10 nyuma. Tangu kipindi app ya YouTube haipo poa ile unatumia UC browser ukitaka kudownload unaenda juu inapoload link ya video mwisho wa https//YouTube tunaadd "SS" then inakupeleka moja kwa moja kweny website za save from net.
 
Shukrani Mkuu
 
Back
Top Bottom