Mkuu si kila simu ina uwezo wa kubadili band maana band ni hardware na si software, unaweza badili Band pale tu ikiwa simu ina hardware ya Hizo band lakini manufacture kaaamua kuzifunga kimakusudi, mfano simu zinazouzwa kwenye mitandao kama T-mobile.
Hivyo vyema ufahamu model ya simu, kisha ujue soc yake, kisha uangalie hio soc imewahi tumika kwenye band unayotaka ku activate?