Nawezaje kufanikisha lengo hili kwa ufanisi?

Nawezaje kufanikisha lengo hili kwa ufanisi?

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
21,329
Reaction score
28,063
Wakuu nawasalimu kwa jina la mwenyezi Mungu (Allah). Kijana na mtoto wenu nimeamua kuanza ku-save(kutunza) fedha at least kwa mwezi 200,000 ili kwa miaka 4 nipate ka fedha ka kununua usafiri.

Ushauri ninaoomba ni je, nitawezaje kulifanikisha hili kwa ufanisi?

Najua humu kuna wakubwa zangu wanajua mbinu na namna nyingiii za utunzaji na kujichangacha.

Asanteni
 
Back
Top Bottom