Nawezaje kufanya application za vyuo vya ualimu ngazi ya diploma?

Aprils hero

New Member
Joined
Jul 11, 2021
Posts
1
Reaction score
1
Samahanini asee,

Nawezaje kufanya application katika colleges za ualimu mm niliyehutimu kidato cha nne?

Process zinakuwaje
 
ingia kwenye wavuti za vyuo unavyotaka kuapply
 
Samahanini asee,

Nawezaje kufanya application katika colleges za ualimu mm niliyehutimu kidato cha nne?

Process zinakuwaje
Habari. Kwasasa huna sifa za kusomea diploma ya ualimu wa shule za msingi. Kwa mujibu wa miongozo mipya ili mtu asomee diploma ya ualimu ni lazima awe muhitimu wa kidato cha sita kuanzia ufaulu wa division 1 mpaka 3 na kupata principal pass mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…