Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,828
Waathirika wa ukimwi ni watu ambao tunaishi nao kwenye jamii wengine tunawajua na wengine hatuwajui. Maadam nao ni binadam na wanahisia bado za kufanya mapenzi, nataka kujua jinsi ambavyo unaweza kushiriki nae NGONO bila yeye kukuambukiza, awe mwanamke au mwanaume. Watu wengi huwatenga watu ambao wanawajua wameathirika lakini wanaweza kushiriki ngono na mtu mgeni wasiyemjua kama ni mwathirika au sio.