Nawezaje Kufanya Mapenzi na muathirika wa UKIMWI na nisidhurike?

Bigbootylover

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
2,847
Reaction score
1,828
Waathirika wa ukimwi ni watu ambao tunaishi nao kwenye jamii wengine tunawajua na wengine hatuwajui. Maadam nao ni binadam na wanahisia bado za kufanya mapenzi, nataka kujua jinsi ambavyo unaweza kushiriki nae NGONO bila yeye kukuambukiza, awe mwanamke au mwanaume. Watu wengi huwatenga watu ambao wanawajua wameathirika lakini wanaweza kushiriki ngono na mtu mgeni wasiyemjua kama ni mwathirika au sio.
 
Uwezekano huo upo japo ni mdogo kama uwezekano wa ngamia kupenya katika tundu la sindano.Epuka ngono,Kuwa muaminifu na kama ukishindwa tumia KONDOMU.
 
asiishie kutumia condom tu!
Apake na ky
Uwezekano huo upo japo ni mdogo kama uwezekano wa ngamia kupenya katika tundu la sindano.Epuka ngono,Kuwa muaminifu na kama ukishindwa tumia KONDOMU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…