Kwauelewa wangu (sina uhakika) ili ufungue account PayPal lazima watahitaji taarifa zako nyingi, kuanzia unapoishi, namba ya account ya bank, security number (itoshe kusema taarifa za bank kwaujumla) jina lako halisi, email, birthday. Taarifa zote hizi wanazihitaji ili kuku_verify wewe kama mteja wao. Ukishajaza taarifa zote, wanatuma taarifa kwenye email kwauthibitisho zaidi.