Habari yako Mimi ni kijana ambae nilitumia mtaji wa Tsh 25,000 na sasa naingiza laki 4 Hadi laki 7 kila Mwezi. Mwaka Jana 2021 mwezi wa 3 nilitumia mtaji huo kununua domain name kisha nikaanzisha Blog. Baada ya kufungua blog yangu nika-apply AdSense kama bloggers wengine wanavyofanya...