Nawezaje kufungua Insurance Company?

Ernest Da Vinci

Senior Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
115
Reaction score
28
Jaman wana jf,habari zenu. ndugu zngu naomba mnijuze hatua za kuanzisha kampun ya bima na capital kias gan.nawasilisha
 
Wazo zuri, wakati muafaka maana nasikia gharama za bima zimepanda kwa 500%. umesoma alama za nyakati.
 
Upo wap kwa hapa tz?Nina mtu naweza kukupa connection kwa kuwa na yeye anamiliki insurance company.Kama hutojali nipm namba yako au email yako mkuu
 
Upo wap kwa hapa tz?Nina mtu naweza kukupa connection kwa kuwa na yeye anamiliki insurance company.Kama hutojali nipm namba yako au email yako mkuu

...Mh!
 
Umesomea Insurance?

kwani Mengi kasomea utangazaji/uandishi wa habari? ukiwa investor haijalishi una skills gani, cha msingi uwe na capital to finance your project.
 
wasiliana na insurance company yoyote utaweka bond kiasi fulani na watakupa kitabu utakuwa agent wao
 
Watz bwana ndio maana wanaitwa vilaza,,swali limeulizwa jingine jibu anatoa jingine

wasiliana na insurance company yoyote utaweka bond kiasi fulani na watakupa kitabu utakuwa agent wao
 
Watz bwana ndio maana wanaitwa vilaza,,swali limeulizwa jingine jibu anatoa jingine

hilo ndio jibu litakalomfaa kwa kuwa agent kwanza ni rahisi na atapata experience na kujua biashara inaendeshwa vipi baada ya hapo anaweza kufanya yafuatayo:-

Source: Tanzania Insurance Regulatory Authority- Registration/Licensing- Insurance Companies
 
kama hajasomea hawezi?
Lazma uwe umesomea insurance pia uwe na chet ndpo utapata leseni ya ku own kampuni. Kama hauna itakulazmu utafute alyesomea na pia awe na chet ndo akaandkshe kuwa kampun ni yake.
 
Lazma uwe umesomea insurance pia uwe na chet ndpo utapata leseni ya ku own kampuni. Kama hauna itakulazmu utafute alyesomea na pia awe na chet ndo akaandkshe kuwa kampun ni yake.

mmmmhh! hiyo sheria kwa kampuni zote au kwa kampuni za bima pekee?
 
kwani Mengi kasomea utangazaji/uandishi wa habari? ukiwa investor haijalishi una skills gani, cha msingi uwe na capital to finance your project.

Umesahau kumuuliza na hili mkuu..
Bakhresa kasomea kutengeneza unga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…