codifier
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 438
- 868
Wadau wa JF habari za majukumu.
Wadau naomba ushauri, kwa sasa nimechoka kupanga na kulipa Tsh. laki 6 per year kama kodi ya chumba.
Nipo Mwanza, nina cash Tsh. 13M tu naweza pata plot ya Tsh. 3M hata pembeni ya mji afu 10M nijenge chumba na sebule ya kawaida tu sitaki mambo mengi.
NB: Naomba nisishauriwe kuhusu kuwekeza kwenye biashara, kila mtu na malengo yake.