codifier JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 438 Reaction score 868 Jul 5, 2023 Thread starter #21 Dr hyperkid said: 10m unajenga hiyo nyumba tena kwa finishing ya kisasa kabisa kikubwa na wewe ingia kama saidia fundi mwanzo mwisho Click to expand... Ahsante kiongozi, acha niingie mzigoni
Dr hyperkid said: 10m unajenga hiyo nyumba tena kwa finishing ya kisasa kabisa kikubwa na wewe ingia kama saidia fundi mwanzo mwisho Click to expand... Ahsante kiongozi, acha niingie mzigoni
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 Jul 5, 2023 #22 codifier said: Ahsante kiongozi, acha niingie mzigoni Click to expand... safi sana natumaini umeelewa maana ya kukuambia na wewe uwe saidia fundi. hapo utajihakikishia ubora,kudhibiti wizi nk
codifier said: Ahsante kiongozi, acha niingie mzigoni Click to expand... safi sana natumaini umeelewa maana ya kukuambia na wewe uwe saidia fundi. hapo utajihakikishia ubora,kudhibiti wizi nk