Trust in God.View attachment 2781427
Ukifuatilia historia ya dunia utaona bila shaka kuwa Walimwengu wamechanyikiwa siku zote. Vita kila kona ya dunia, mauwaji, majanga, visa vya kutisha, uchafuzi wa hali ya hewa na mazingira, wizi na mengineyo.
Kuishi katika dunia ya namna hii inahitaji uwe na ufahamu wa aina yake. Uwe na uwezo wa kujitengenezea furaha hata kama mambo hayaendi unavyotaka.
Tunazaa watoto Ili nao waje wateseke kama tunavyoteseka....ajabu sanaView attachment 2781427
Ukifuatilia historia ya dunia utaona bila shaka kuwa Walimwengu wamechanyikiwa siku zote. Vita kila kona ya dunia, mauwaji, majanga, visa vya kutisha, uchafuzi wa hali ya hewa na mazingira, wizi na mengineyo.
Kuishi katika dunia ya namna hii inahitaji uwe na ufahamu wa aina yake. Uwe na uwezo wa kujitengenezea furaha hata kama mambo hayaendi unavyotaka.
Maskini mwanadamu,ndiyo umekosa huruma na utu kias hiki?Sasa mambo ya Gaza na wew upo vingunguti yanakunyima vip fraha boss
Au una depression...
Mungu gani waku Trust, Anayeacha watoto wadogo wasio na hatia yeyote wateseke?Trust in God.
Utu unaanzia nyumbani hapahapa Tz kuna watu wanakosa chakula cha siku,wanakufa kukosa matibabu,uongoz mbaya fisad anapiga 1b huku raia hawana chakula,.....jkMaskini mwanadamu,ndiyo umekosa huruma na utu kias hiki?
Sawa mkuuUtu unaanzia nyumbani hapahapa Tz kuna watu wanakosa chakula cha siku,wanakufa kukosa matibabu,uongoz mbaya fisad anapiga 1b huku raia hawana chakula,.....jk
Mambo Ya Gaza tuwachie Hama's........
Yuko Mungu, ukimtafuta utamuona.Mungu gani waku Trust, Anayeacha watoto wadogo wasio na hatia yeyote wateseke?
Mungu huyo hayupo.
You are trusting illusion.
This is one of the factors I will never have kidsTunazaa watoto Ili nao waje wateseke kama tunavyoteseka....ajabu sana
Hata mm nawashangaa sana wanaozaaTunazaa watoto Ili nao waje wateseke kama tunavyoteseka....ajabu sana
Wapi alisema duniani ni sehemu ya bata hakuna matatizo ?Mungu gani waku Trust, Anayeacha watoto wadogo wasio na hatia yeyote wateseke?
Mungu huyo hayupo.
You are trusting illusion.
Kachanganyikiwa au ?Only solution View attachment 2781499
Kwa hiyo Mungu huyo aliumba dunia yenye matatizo ili viumbe wake na binadamu waje wateseke?Wapi alisema duniani ni sehemu ya bata hakuna matatizo ?
Ni sawa leo ulalamike rafu kwenye mchezo wa soka wakati rafu ndio sehemu ya mchezo wenyewe.
Anatafutwa kwani amepotea?Yuko Mungu, ukimtafuta utamuona.
Jiruhusu uwe kwenye freestate of mind, na atajitokeza kwako.
Tunazaa mkuu.....tunawaleta wanetu duniani washuhudie machungu ya dunianiš„Hata mm nawashangaa sana wanaozaa