To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Oct 14, 2023 #21 Below 40 said: This is one of the factors I will never have kids Click to expand... Maamuzi yako ni sahihi kabisa mkuu ♥️
Below 40 said: This is one of the factors I will never have kids Click to expand... Maamuzi yako ni sahihi kabisa mkuu ♥️
Below 40 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 884 Reaction score 1,739 Oct 14, 2023 #22 adriz said: Kachanganyikiwa au ? Click to expand... Alisema kweli juzi ila hiyo wame edit tu Iran ndio alisema wataipiga
adriz said: Kachanganyikiwa au ? Click to expand... Alisema kweli juzi ila hiyo wame edit tu Iran ndio alisema wataipiga
RedPill Prophet JF-Expert Member Joined Apr 25, 2023 Posts 1,408 Reaction score 3,564 Oct 14, 2023 #23 Infropreneur said: Anatafutwa kwani amepotea? Kwa nini Mungu huyo atafutwe? Click to expand... Sasa Mungu atajidhihirishaje kwako wakati umemkataa kwa akili yako kuwa hayupo?
Infropreneur said: Anatafutwa kwani amepotea? Kwa nini Mungu huyo atafutwe? Click to expand... Sasa Mungu atajidhihirishaje kwako wakati umemkataa kwa akili yako kuwa hayupo?
Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 9,830 Reaction score 20,686 Oct 14, 2023 #24 Division One said: Sasa Mungu atajidhihirishaje kwako wakati umemkataa kwa akili yako kuwa hayupo? Click to expand... Wewe uliye mkubali huyo Mungu. Unaweza kunionyesha Mungu huyo ana fananaje? Zaidi ya mawazo na imani za kufikirika tu.
Division One said: Sasa Mungu atajidhihirishaje kwako wakati umemkataa kwa akili yako kuwa hayupo? Click to expand... Wewe uliye mkubali huyo Mungu. Unaweza kunionyesha Mungu huyo ana fananaje? Zaidi ya mawazo na imani za kufikirika tu.
RedPill Prophet JF-Expert Member Joined Apr 25, 2023 Posts 1,408 Reaction score 3,564 Oct 14, 2023 #25 Infropreneur said: Wewe uliye mkubali huyo Mungu. Unaweza kunionyesha Mungu huyo ana fananaje? Zaidi ya mawazo na imani za kufikirika tu. Click to expand... Haonekani mkuu. Naishi kwa Imani .
Infropreneur said: Wewe uliye mkubali huyo Mungu. Unaweza kunionyesha Mungu huyo ana fananaje? Zaidi ya mawazo na imani za kufikirika tu. Click to expand... Haonekani mkuu. Naishi kwa Imani .