THEGENTLEMAN1996
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 518
- 592
Umemaliza bila kikomo mkuuVODACOM wana kifurushi cha SMS BILA KIKOMO kwa siku 30,lakini kumbe hizo SMS zina kikomo cha SMS 5000 tu.
sasa kwa mantiki hiyo VODACOM wanadanganya wateja wao na mimi nikiwa mmoja wao.
sasa nifanyeje niwashtaki kwa kunidanganya.
Hawakwambii ni ngapi mpaka umalize ndipo utashtuka sms haziendiChukulia upo kwenye mkataba, but before haujasaini kunakuwa na vigezo na masharti, lazima viwe disclosed before contract haijakuwa executed, kama unaponunua iko kifurushi wamesema bila kikomo hawajasema idadi ya sms, mpaka ule wakati wa unakubali kununua ndio unapewa taarifa kuwa ni sms 5000, huo mkataba unaweza kuwashtaki kama haujatumia ata sms moja, but ukianza kutumia tu basi umekubaliana nao.
Utakuwa umetuwakilisha wateja wote wa vodacom tunaoibiwa. Itabidi watulipe wotehii kesi nkishinda ntapata kama shilling ngapi ?
nisije poteza muda
1000/= ya sms.hii kesi nkishinda ntapata kama shilling ngapi ?
nisije poteza muda
Matapeli haoVoda pumbaf sana hao..leo imenikuta..nimepgiwa sm naCustomer care wao akadai we flani bin flan? nikamwmbia Naam..akasema Mpesa inataka wakupe Bonus kwa Mpesa yako ya vile namna ulitumikia Acc yako sasa aknipga Swali lastime umeeka lini pesa na uko na Kiac gan kwa Acc yako..?? "duh nikashndwa niseme namna gani ila nikamwambia Mkuu we kama unanipa bonus nipatie tu,mbona unaniuliza Maswali mengi kama tuko radio One..akajbu anyway Check Acc yako aftr 4Mnts ntaku'call hadi hivi sijapigiwA wala bonus sikuona..!!
ungetapeliwa haraka,Voda pumbaf sana hao..leo imenikuta..nimepgiwa sm naCustomer care wao akadai we flani bin flan? nikamwmbia Naam..akasema Mpesa inataka wakupe Bonus kwa Mpesa yako ya vile namna ulitumikia Acc yako sasa aknipga Swali lastime umeeka lini pesa na uko na Kiac gan kwa Acc yako..?? "duh nikashndwa niseme namna gani ila nikamwambia Mkuu we kama unanipa bonus nipatie tu,mbona unaniuliza Maswali mengi kama tuko radio One..akajbu anyway Check Acc yako aftr 4Mnts ntaku'call hadi hivi sijapigiwA wala bonus sikuona..!!
Umenichekesha sana mkuu!! Wenzako akina ay na mwana fa wanangoja bilion zao!!hii kesi nkishinda ntapata kama shilling ngapi ?
nisije poteza muda