Little Dreamer
Senior Member
- Sep 12, 2017
- 180
- 162
utengenezaji wa magari ni miongoni mwa module nilizosomaKwani umesomw module gani.. Au utengenezaji wa magari
Noted sir, thanks very muchKwasababu course ya mechanical ni wide sana najua mmesoma vitu vingi ikiwemo uchomeleaji yaani (welding) mmesoma design za machine mbal mbal pengne mkawa mnadesign kwa kutumia software kama solidworks/AutoCAD so unauzoefu sana na cha kukushauri mm kulingana na uzoefu wa hayo mambo hapo funguen mechanical metal workshop mnakuwa mna design sofa coaches, vitanda, frames za madirisha magate mnatengneza majiko ya kuchomea nyama mnatengneneza mashne hizi za kusaga na kukoboa nafaka sio ghari sana kwa kuanzisha sidhan kama hata 2million inafika kwa kuanzia then mnakuwa updated sana huko baadae mnakuwa mnadesign vtu vya kisasa mfano following attachmentView attachment 1082553View attachment 1082554View attachment 1082555
Hapana mkuu hoja yako nakupinga.Sorry, kama nitakua natoka nje ya mada BUT swali hili ulitakiwa kujiuliza toka siku ya kwanza wakati unafikiria usomee nini diploma ingekurahisishia kujua unapoingia msituni ni mnyama gani unamuwinda. Ila haujachelewa nice move wadau watakushauri mambo mazuri tu hapa!
Kwasababu course ya mechanical ni wide sana najua mmesoma vitu vingi ikiwemo uchomeleaji yaani (welding) mmesoma design za machine mbal mbal pengne mkawa mnadesign kwa kutumia software kama solidworks/AutoCAD so unauzoefu sana na cha kukushauri mm kulingana na uzoefu wa hayo mambo hapo funguen mechanical metal workshop mnakuwa mna design sofa coaches, vitanda, frames za madirisha magate mnatengneza majiko ya kuchomea nyama mnatengneneza mashne hizi za kusaga na kukoboa nafaka sio ghari sana kwa kuanzisha sidhan kama hata 2million inafika kwa kuanzia then mnakuwa updated sana huko baadae mnakuwa mnadesign vtu vya kisasa mfano following attachmentView attachment 1082553View attachment 1082554View attachment 1082555
Ku design mifumo ni kazi ya injinia sio fundi mchundo (diploma holder).Hahah unaweza kudesign engine ya Gari from scratch..nataka nianzishe kiwanda cha magari so tunaweza fanya partnership
nina experiance kwa kiac cha mwanafunzi katika welding and fabrication, automotive technology, na machine shop (ingawa bado naendelea kujifunza) ...Ndo nipo mwaka wa mwisho nina miezi kama miwili na kdogo niingie mtaani...Kama bado upo chuo thats good/ na kama usha graduate n nice. Nakuuliza kwanza una hand experience kweny mechanics? Af ntaendelea
Unasoma chuo gani dogo?nina experiance kwa kiac cha mwanafunzi katika welding and fabrication, automotive technology, na machine shop (ingawa bado naendelea kujifunza) ...Ndo nipo mwaka wa mwisho nina miezi kama miwili na kdogo niingie mtaani...
Ndio mkuu mpaka sasa ninafanya kazi ya kujitolea part time kwenye garage... Nipo upande wa ufundi wa engineUfundi magari unauweza? Nyanja ipi?
Haloo ni hizo tu ndo module ulizomaster?nina experiance kwa kiac cha mwanafunzi katika welding and fabrication, automotive technology, na machine shop (ingawa bado naendelea kujifunza) ...Ndo nipo mwaka wa mwisho nina miezi kama miwili na kdogo niingie mtaani...
Ku design mifumo ni kazi ya injinia sio fundi mchundo (diploma holder).
Amemaanisha amesoma masomo mengi ila hizo ndio module ambazo anazimudu practically.Haloo ni hizo tu ndo module ulizomaster?
Amemaanisha amesoma masomo mengi ila hizo ndio module ambazo anazimudu practically.
Si unajua Engineering is not about only theories but practical matters.
Mkuu mech diploma holder si fundi mchundo design Wana soma Kama moduleKu design mifumo ni kazi ya injinia sio fundi mchundo (diploma holder).
Anaitwa fundi sanifu wapo wenye hobby ya kudesign hujifunza wenyewe kwa muda wao.Mkuu mech diploma holder si fundi mchundo design Wana soma Kama module