Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Mkuu huyu mtu account ambayo anayo ni hiyo na kumuambia atume kwa ingine ataniona mswahili pesa hiyo inaangaliwa na wengiTumia account nyingine/mitandao ya simu
Unaweza kuepuka matatizo yote haya kwa kulipa deni.Wakuu natumia account ya Crdb bank, na hiyo account nilitumia kuomba mkopo kwaiyo Huwa wanakata moja kwa moja mara baada ya hela kuingia.
Sasa Kuna mtu anataka kunitumia hela kwa account hiyo nawezaje kukwepa hela isikatwe??
Mana inakatwa na mfumo nitumie njia gani hela hii isikatwe na mfumo kama kulipia deni?
Kweli wewe ni Kuku maji... uaminifu ni kitu cha thamani sana jitahidi usipoteze uaminifu. Pia jua usipolipa huko mbeleni ni ngumu kukopesheka. Au una uhakika maishani mwaka hutakaa upate tena hitaji la kukopa? LIPA DENI kwa faida yako mwenyewe.Hapana haiwezekani kukopa tena nimefikia kikomo mkuu hiii ndio mara ya mwisho ndio maana nataka nisilipe ili nisitumie tena hiyo account
Lipa deni.Mkuu huyu mtu account ambayo anayo ni hiyo na kumuambia atume kwa ingine ataniona mswahili pesa hiyo inaangaliwa na wengi
Kwani umekatazwa kufungua acc nyengine ktk bank hiyo hiyo kama kuna umuhimu pesa ipite crdb?hao wamekukopesha bei gani,laki moja au?maana unashangaza hujui hata namna ya kufanya kwenye situation ndogo kama hii hata umenitia mashaka!Hapana haiwezekani kukopa tena nimefikia kikomo mkuu hiii ndio mara ya mwisho ndio maana nataka nisilipe ili nisitumie tena hiyo account
Tumia account ya Bank nyingine wachana na maswali yasiyowezekana.Wakuu natumia account ya Crdb bank, na hiyo account nilitumia kuomba mkopo kwaiyo Huwa wanakata moja kwa moja mara baada ya hela kuingia.
Sasa Kuna mtu anataka kunitumia hela kwa account hiyo nawezaje kukwepa hela isikatwe??
Mana inakatwa na mfumo nitumie njia gani hela hii isikatwe na mfumo kama kulipia deni?
Imekula kwako,Mkuu huyu mtu account ambayo anayo ni hiyo na kumuambia atume kwa ingine ataniona mswahili pesa hiyo inaangaliwa na wengi