Nawezaje kujitangaza kwenye kazi zangu za U-MC?

Nawezaje kujitangaza kwenye kazi zangu za U-MC?

josephmazuri

Member
Joined
Mar 24, 2024
Posts
27
Reaction score
34
Hello WanaJF?

Mimi ni kijana mwenye miaka 23 but niko na kipaji cha kuwa MC nimefanya kazi kwenye mashule kama matukio matano.

Naombeni ushauri nawezaje kuji promote nipo mtwara

Thanks
 
Huko Mtwara? Huko hutoki ng'o! Jiongeze kimbia huo mkoa njoo Dar! Anza kuwa MC kwenye biashara ya nguo/mitumba
 
Vizuri sana ....nicheki pm nikufundishe jinsi ya kutengeneza matangazo ya kulipia Instagram.....ukilipia matangazo Instagram utakuwa unajibrand Yani personal Branding mwisho wa siku utajulikana na watu wataona uwezo wako na hapo ndo utaanza kufanya kazi
 
Back
Top Bottom