Nawezaje kujitoa kwenye kesi ya madai niliyoianzisha?

Nawezaje kujitoa kwenye kesi ya madai niliyoianzisha?

Joined
Dec 22, 2017
Posts
53
Reaction score
22
Nikiwa kama mpeleka maombi mahakama kuu kuhusu kesi ya madai
sasa sioni sababu ya kuendelea na kesi nataka kujitoa, Je nafanyaje? Na kesi bado haijaanza kusomwa.

NAOMBA MSAADA WENU NAMNA YA KUANDIKA BARUA AMA MAELEZO YA NAMNA YA KUJITOA
 
Back
Top Bottom