Nawezaje Kujizuia ili Nisiwe Na Wivu????

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
798
Reaction score
541
Wakuu.

Nina Girlfriend ambae yupo mbali na mimi kiasi kwamba tunaweza kukaa almost 6 months hatujaonana ila tatizo nililonalo ni kwamba nina wivu kupita kiasi.

Nimegombana nae mara nyingi sana na hata kufikia hatua ya kum-cheat ili kupunguza hasira zangu still bado tatizo langu sikuweza kuliondoa. wivu wangu hasa unakuja ninapompigia simu na endapo simu yake haitapokelewa kwa wakati aukukuta ipo busy ndipo wivu huongezeka mara dufu na always nafikiria ku-cheat ili kupunguza hasira zangu.

Je nifanye nini ili kuondokana na hii tabia ya kuwa na wivu??


:thinking: :thinking: :thinking: :thinking: :thinking: :thinking: :thinking:
 
...ni ngum mkuu...huwezi kuepukana na hilo,wivu ni sehemu ya mapenzi!...ila ikizidi itakucost maisha...so jitahidi kuwa mpole tu...ni ukwel usiopingika kuwa LOLOTE laweza kua linaendelea huko alipo...
DISTANCE kills aisee!
 
Sure.... kwamba jinsi anavyomcheat naye pia anamcheat.....

Kumegana hakukwepeki.....

Babu,

Kwani ukifanya kosa then ukaomba msamaha inamaanisha utafanya tena?

Nimeliona hilo ndo maana nimeomba ushauri wa hapa MMU, Natumaini kwa busra zako kama kibabu hapa jamvini utarudi na kunipa ushauri mzuri ambao hautaniathiri.
 
kama kweli unataka kuepukana na hili, jiamini kwanza wewe mwenyewe. Hujiamini ndo maana unaishia kucheat ambako wala hakupunguzi wivu.

Ukiwa mwaminifu wewe mmwenyewe ndipo utaamini na mwenzio ni mwaminifu.
 
wivuwako unasababishwa na wewe mwenyewe kutokuwa mwaminifu kwa mwenzako
 
"Mwizi hudhania kila mtu ni mwizi".
Wivu wako unatokana na hiyo tabia yako ya kuibaiba. Kwanza jiamini baadaye uache kuiba, au kinyume chake - uache kuiba halafu ujiamini.
 
Jiue!!!!!
 
Kijana nadhani umesahau ule msemo wa waenga "FIMBO YA MBALI HAIUI NYOKA"
 
wanaume wenye wivu ni adhabu sana kwa wadada.ngoja nikuambie, kikubwa inahitajika umwamin mwenzio...punguza sana kumwazia mabaya.utaishi kama mimi yani hata woga na wasi sina tho nahisi lazima kunamapungufu na makosa yanafanyika
 
Wakati mimi natamani nipate kawivu hata kidogo nashindwa, mwingine umejaa na kumwagika kweli tuko tofauti, na hata wadada usipokuwa na wivu kabisa hawajisikii, mimi mke wangu anasema simpendi kisa sijawahi muonyesha wivu wangu lakini siwezi huwa naamini hafanyi upuuzi huko anakoenda.
 
Duh! Yaani wivu unakupelekea kucheat! Una yako.
 

....usimpigie simu...
 
Tafuta mkali zaidi, piga bao wivu utapungua, awe mkali....this is mind battle .....


 
Ulikua. Na tatizo kama langu cha kukushauri.... We ukiona simu yake ipo busy umia kisela ila usimuanzishie varangati tena ongeza mapenzi tu. Nina maana mpaka utakapomshuhudia anakucheat hapo hakuna mjadala ila kwa saiv usimjudge though imawezekana kweli anakucheat au laa. Cha muhimu anapofanya kitu ambacho unaumia nacho jikaze kiume usimwambie.... Me yamenikuta hayo hayo mpaka tuliachana na karudi ye mwenyewe coz unapokasorika namba yake kua busy na kuonyesha umekasirika anaona raha sana hawa viumbe ni wakatili sana........ Ila pia ACHA KUCHEAT MKUU.
 

mapenzi ya wawili walio mbali yanahitaji uvumilivu na achana na wivu husio na maana we mwamini tu mpenz wako.pili hyo ya kucheat sio dawa kabisa zaid inakuongezea hofu zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…