Nawezaje Kujua Madini Halisi

Nawezaje Kujua Madini Halisi

regnaldshirima

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
124
Reaction score
78
Habari zenu wana Jamii,
Leo Naomba Wenye Ufahamu Wa Madini Wanieleweshe nami na wana jamii Wengine Pamoja tuweze Kufahamu,
mimi nina Mawe mawili yenye rangi ya kijani,niliyapata katika pori ambalo halijaingiliwa na watu na niliyang'oa katika mwamba kwa ndani yanaonekana kama kuna maji.
 
regnaldshirima
Mkuu tumia technology kujikwamua, kama uko na mawe hayo yapige picha ibandike hapa wataalam watakupa mwongozo na zaidi masoko. Kama ni ya kijani yamkini ni green tourmaline soko lake kubwa ni wahindi wa mtaa wa chipata na sikukuu.

images

Rough Uncut green tourmaline.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wana Jamii,
Leo Naomba Wenye Ufahamu Wa Madini Wanieleweshe nami na wana jamii Wengine Pamoja tuweze Kufahamu,
mimi nina Mawe mawili yenye rangi ya kijani,niliyapata katika pori ambalo halijaingiliwa na watu na niliyang'oa katika mwamba kwa ndani yanaonekana kama kuna maji.

kuna mawe ya aina nyingi yenye rangi ya kijani na kila madini hayo yanatofautiana, labda nkulize hayo madini uliyapata sehemu gani
 
Shika hilo jiwe lako, liangalie wakati wa jua nje, au chukua tochi ya cm iwashie kwenye hilo jiwe, theni niambia unaona nini na mimi nitakwambia ni wapi pa kwenda kuuza.
 
Habari zenu wana Jamii,
Leo Naomba Wenye Ufahamu Wa Madini Wanieleweshe nami na wana jamii Wengine Pamoja tuweze Kufahamu,
mimi nina Mawe mawili yenye rangi ya kijani,niliyapata katika pori ambalo halijaingiliwa na watu na niliyang'oa katika mwamba kwa ndani yanaonekana kama kuna maji.

Mkuu nipm tuweze kuongea vizuri
 
nimwilika na touch ya simu, linakua ka na mithili ya maji kwa ndani,pande zote,wakati wa usiku kukiwa na giza rangi ya kijani huoneka ikiwa imekolea,na mwanga unapotoke hung'aa
 
hebu muulize huyu steve Robert Masaku atakusaidia kuyatambua hayo madini ila piga picha hayo mawe tuoneshe hapa ili aone ndipo aweze kukuambia kuwa ni madini au siyo madini
Habari zenu wana Jamii,
Leo Naomba Wenye Ufahamu Wa Madini Wanieleweshe nami na wana jamii Wengine Pamoja tuweze Kufahamu,
mimi nina Mawe mawili yenye rangi ya kijani,niliyapata katika pori ambalo halijaingiliwa na watu na niliyang'oa katika mwamba kwa ndani yanaonekana kama kuna maji.
 
Last edited by a moderator:
hayo mawe niliyapataa katika shamba letu,lipo mbali karibu na sehemu yenye miamba yakiwa na mchanga nyiko na madogo madogo ambayo mazito tofauti na kokoto,meusi yaki ng'a yakioshwa,. pia kuna sehemu katika mlima kuna vitu vinang'a kama dhahabu katika miamba vingine vibanduka kama kitunguu ni sehemu hapachimbwi unakuta juu
 
Back
Top Bottom