Nawezaje kujua taarifa nilizojaza kwenye fomu kipindi naitafuta namba yangu ya NIDA?

icon_2000

Senior Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
177
Reaction score
256
Hivi nawezaje kujua taarifa nilizo jaza kwenye form kipindi naitafta namba yangu ya NIDA baada ya kupata namba hiyo?
 
Kama ulijaza taarifa za uongo ni vigumu. Lakini Kama taarifa zako ziko sawa hauhitqji kuwa na mashaka.
 
Nilitaka taarifa zile nilizojaza nataka nizitumie kwenye kuapply mkopo kama vile jina la mtaa niliko zaliwa
 
Hivi nawezaje kujua taarifa nilizo jaza kwenye form kipindi naitafta namba yangu ya NIDA baada ya kupata namba hiyo?
Hakuna namna kama ukumbuki ni vyema urudi OFISI za NIDA tu nenda na chet cha kuzaliwa na kitambulisho cha Nida
 
Back
Top Bottom