I icon_2000 Senior Member Joined Jul 14, 2024 Posts 177 Reaction score 256 Aug 13, 2024 #1 Hivi nawezaje kujua taarifa nilizo jaza kwenye form kipindi naitafta namba yangu ya NIDA baada ya kupata namba hiyo?
Hivi nawezaje kujua taarifa nilizo jaza kwenye form kipindi naitafta namba yangu ya NIDA baada ya kupata namba hiyo?
NGOSWE2 JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 1,323 Reaction score 1,608 Aug 13, 2024 #2 icon_2000 said: Hivi nawezaje kujua taarifa nilizo jaza kwenye form kipindi naitafta namba yangu ya NIDA baada ya kupata namba hiyo? Click to expand... Kama ulijaza taarifa za uongo ni vigumu. Lakini Kama taarifa zako ziko sawa hauhitqji kuwa na mashaka.
icon_2000 said: Hivi nawezaje kujua taarifa nilizo jaza kwenye form kipindi naitafta namba yangu ya NIDA baada ya kupata namba hiyo? Click to expand... Kama ulijaza taarifa za uongo ni vigumu. Lakini Kama taarifa zako ziko sawa hauhitqji kuwa na mashaka.
I icon_2000 Senior Member Joined Jul 14, 2024 Posts 177 Reaction score 256 Aug 13, 2024 Thread starter #3 Nilitaka taarifa zile nilizojaza nataka nizitumie kwenye kuapply mkopo kama vile jina la mtaa niliko zaliwa
Nilitaka taarifa zile nilizojaza nataka nizitumie kwenye kuapply mkopo kama vile jina la mtaa niliko zaliwa
Escobber pablo JF-Expert Member Joined Jun 17, 2024 Posts 302 Reaction score 695 Aug 13, 2024 #5 icon_2000 said: Hivi nawezaje kujua taarifa nilizo jaza kwenye form kipindi naitafta namba yangu ya NIDA baada ya kupata namba hiyo? Click to expand... Hakuna namna kama ukumbuki ni vyema urudi OFISI za NIDA tu nenda na chet cha kuzaliwa na kitambulisho cha Nida
icon_2000 said: Hivi nawezaje kujua taarifa nilizo jaza kwenye form kipindi naitafta namba yangu ya NIDA baada ya kupata namba hiyo? Click to expand... Hakuna namna kama ukumbuki ni vyema urudi OFISI za NIDA tu nenda na chet cha kuzaliwa na kitambulisho cha Nida