NB. Naenda kununua tairi mpya sio used, maana kuna nyingine zinakaa madukani hadi zinaisha mda lkn wanunuzi hatujui kwa sababu zimeandikwa kitaalam.
Mkuu, tairi zinaishi miaka 4 toka siku zimetoka kuivishwa kiwandani, so wanachoandika kwenye tairi Ni siku ilipotengenezwa, na wanaandika wiki ya ngapi na mwaka!Habari ya hapa wakuu,
Naomba kwa anaefahamu namna ya kujua kama tairi imexpire au bado, maana naenda kununua tairi leo ndio nikakumbuka kuna uzi nilishawahi kuuona huku miaka ya nyuma ukielezea jinsi ya kujua kama tairi haijaxpire,
Kwa anaefahamu naomba kujuzwa tafadhali.
NB. Naenda kununua tairi mpya sio used, maana kuna nyingine zinakaa madukani hadi zinaisha mda lkn wanunuzi hatujui kwa sababu zimeandikwa kitaalam.