Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 127
- 194
Wadau habari za muda,
Mimi ni kijana wa Kitanzania, ninaomba mnisaidie mawazo yenu. Nilikuwa nimewekeza pesa zangu kama 30m kwenye mfuko wa UTT Amis, sasa faida ipo ila sio kubwa sana maana ni kama 300k kwa mwezi. Sasa ninataka nianze biashara maeneo ya Kanda ya Ziwa.
Biashara gani ninaweza kuifanya kwa mtu ambaye hukuwai kufanya biashara kabisa, ambayo itanipa faida hata ya 50000 kwa siku inatosha. Maana mimi sio mtuu wa tamaa sana, kingine kumbuka nimeajiriwa.
Karibuni kwa mawazo yenu mazuri kuhusu biashara. Kama hauna mawazo naomba ukae kimya, uwaache great thinkers wa Jamii Forums wanishauri, hata kama ni wachache.
Asanteni, karibuni.