Nawezaje Kumiliki Nyumba ya Ghorofa?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Wakuu hii ni moja ya ndoto zangu kubwa.

Nipeni maujanja wajameni siku moja kwa neema za aliye juu namimi "ninyee juu"
 
Shida hela au nyumba ya ghorofa?
 
Kama simple tafuta kama million 70 ujenge floor ya mbili na moja ya kwanza uiweke safi then fanya kuhamia ,huku unaboresha floor ya pili.
 
Kama simple tafuta kama million 70 ujenge floor ya mbili na moja ya kwanza uiweke safi then fanya kuhamia ,huku unaboresha floor ya pili.
Mkuu hiyo hela hata floor 1 haitoshi. Nondo ziko juu ni balaa. Halafu inategemeana na eneo la ujenzi. Maeneo mengine huenda hiyo 70m ni msingi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…