LDA COMPANY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 340
- 622
Kwema wakuu, kuna dogo mtaani kanywa dawa ya kuulia magugu aina ya ParaeForce. Naombeni njia ya kumnusuru maana ana hali mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1: MKIMBIZE/MPELEKE hospitali ya karibu na ulipo.Kwema wakuu, kuna dogo mtaani kanywa dawa ya kuulia magugu aina ya ParaeForce. Naombeni njia ya kumnusuru maana ana hali mbaya
Nashukuru mkuu1: MKIMBIZE/MPELEKE hospitali ya karibu na ulipo.
2: Ondoa nguo zozote zilizo na dawa kwenye mwili wake. Kama umezigusa pia unawe vyema na sabuni.
3: Apewe activated charcoal/ mkaa maalumu, hupatikana hospital.
4: Hospitali wanaweza kuwepa mipira ya kuondoa dawa iliyoko tumboni kama wataona inafaa.
IQ za watanzania zipo low sana.Badala ya kumuwahishahospitali unasubiri majibu JF,mpaka majibu yakufikie aneshakufa
Kabisa aiseeIQ za watanzania zipo low sana.
Hii dawa ukiinywa ni ngumu kupona imeua watu wengi mtaani. Kwao wamempeleka kwa mtaalam wa dawa za kienyeji ndo kampa dawa pia kawekewa drip ila huduma anapewa nyumbaniBadala ya kumuwahishahospitali unasubiri majibu JF,mpaka majibu yakufikie aneshakufa
Kweli mkuuHapa ndipo vituo vya afya vya eneo husika vinaweza kuandika taarifa ya:
1: HAZMAT(Harzadous Materials)/ Vitendeakazi hatarishi.
2: MDS(Material Data Sheets ya namba 1 hapo juu). Jinsi ya kusaidia watu waliodhurika au kuwa kwenye mgusano na namba moja hapo juu.
Sawa shukrani mkuumpe maziwa fresh
Msaada wako mkuuHii kweli Bongo
Mnaishi mbali sana na Hospitali??,. Hapa unaweza kupata majibu lakini kwa kuchelewaMsaada wako mkuu
Sawq mkuu tushampelekaMnaishi mbali sana na Hospitali??,. Hapa unaweza kupata majibu lakini kwa kuchelewa
Vizuri,. Mungu awasimamie 🙏Sawq mkuu tushampeleka
Keaiyo wana kunywa kama sifa au ni niniHii dawa ukiinywa ni ngumu kupona imeua watu wengi mtaani. Kwao wamempeleka kwa mtaalam wa dawa za kienyeji ndo kampa dawa pia kawekewa drip ila huduma anapewa nyumbani
Mkuu, usipende kulaum na kuwashusha wenzio. Ameomba msaada hapa we kama unajua afanyaje mwambie, na kama hujui nyamaza.IQ za watanzania zipo low sana.
Ww na mleta mada ni jamii moja. I feel very sorry for you guysMkuu, usipende kulaum na kuwashusha wenzio. Ameomba msaada hapa we kama unajua afanyaje mwambie, na kama hujui nyamaza.
Hivi unafahamu Kuna kitu kinaitwa huduma ya kwanza?
Huwezi jua Kuna umbali gani kutoka hapo alipo mpaka hospitali, kama Kuna uwezekan wa kumpa huduma ya kwanza huenda ikawa amemuokoa au kumpunguzia madhari ya hiyo dawa.