Nawezaje kuopen source code files in android

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habar wadau

Mdogo wenu bado nakimbizana na mambo ya programming huku sasa nataka nirahisishe mambo kuna mda nadownload source code files in my phone naziextract vzr tu sasa kuna mafile yenye source code yanaishia na extensions km vile

.c,.c++,.h.lib,.py, .vb nk

Nikitaka kuopen haya mafile ili nisome source code kupitia simu yangu simu inakataa nafanyaje wadau

 
Nimesikitika sana, acha masihara.
 
Programming kwa simu ni sawa'sawa na kusema unataka kwenda china kwa baiskeli.
 
Nomeipata inafungua sema haipo vzr yaan ili u open file lazima ufungue uenyewe keanza sasa mm nataka nikikuta code naclick tu ifunguke automatically
Tafuta PC mkuu, kwa simu kujifunza programming utakumbana na limitations nyingi mno amini nachokwambia, PC ina heshima/umuhimu wake kwenye kurahisisha mambo..
 
Tafuta PC mkuu, kwa simu kujifunza programming utakumbana na limitations nyingi mno amini nachokwambia, PC ina heshima/umuhimu wake kwenye kurahisisha mambo..
Nqjua ilo bro mm shida yngu niwe nasoma cod3 za wqtu nikizidownloqd kwa simu baadae nikiwq na pc naanzq kuzirun

So apa simu ni km kitabu tu sio full pc for programming
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…