Nawezaje kupata Ajenti moja kwa moja kutoka viwandani huko China?

Nawezaje kupata Ajenti moja kwa moja kutoka viwandani huko China?

bashiri 09

Member
Joined
May 20, 2023
Posts
5
Reaction score
1
Maana Kuna biashara nahitaji kuifanya.

Biashara hiyo ni hardware, sasa kuna baadhi ya mashine nataka nizipate kutoka kiwandani kabisa.
 
Download Ali baba check hiyo bidhaa utawasiliana na wenyewe kutoka kiwandani
 
Nisawa lakini shipping nikubwa Sana kuliko bei ya kitu ulicho nunua
 
Back
Top Bottom