Nawezaje kupata banner za makampuni ya kutengeneza simu?

Nawezaje kupata banner za makampuni ya kutengeneza simu?

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,368
Reaction score
1,325
Wakuu nitapataje zile banner zinatolewa na makampuni ya simu kama tecno Samsung na Infinix.

353FDFE9-88C2-4E28-B7AB-A58137C1ACED.jpeg

311DBD36-4579-40E2-8D17-A02383CC9670.jpeg
 
utapata kutoka kwa wale waagizaji wa simu kutoka china, wanouza simu kwa carton
 
kama unafungua goli la simu na accessories zake naomba kibarua boss
 
Back
Top Bottom