Habari,
Wanajukwaa mm ni mwanachuo mwaka wa tatu mnamo Tarh 29 Nov lilitok tangazo la ajira migration kwa bahati nimefanikiwa kupeleka maombi na kutokana na tetesi wiki ijayo tunaweza kuitwa kwenye interview ila changamoto yangu kubwa mpk sasa ni kwamba nimepoteza cheti original cha form 4 nimebaki tu na copy.
Kule maombi nimeomba kwa form 6 cheti cha form 6 original ninacho cha kuzaliw poa og kipo hasa.
Naomb kuuliza hivi, ndo nitafeli interview kisa form 4 og na pia naomb hatua za kuweza kukipata chengine.