Nawezaje kupata driver booster au driver pack for free

Nawezaje kupata driver booster au driver pack for free

aad

Member
Joined
May 15, 2019
Posts
66
Reaction score
63
Okay wakuu, nimejaribu kudownload hizo setup kwenye pc maana nahitaji kufanya update ya driver kwenye pc lakini naona hizo nilizodownload zina mambo ya kulipia.

Sasa nauliza je kama kuna njia nyingine ya kupata hizo driver booster na driver pack for free?

Chief-Mkwawa
 
Mkuu baada ya Kuinstall natakiwa kufanya nini hapa kwenye license
 
Utadownload mavirus tu, una ishu gani ambayo inahitaji drivers tofauti? 99% windows itadownload drivers za kifaa chochote yenyewe , 1% iliyobaki kama una device haipati drivers nenda kwenye website ya mtengeneza hicho kifaa download huko
 
Au atumie Windows updates driver zote zipo.
 
  • Thanks
Reactions: aad
Hakikisha baada ya ku"install" windows una"update" hiyo windows, unaweza kutumia gb 1, kama mzigo utakuwa bado ongeza gb 1 nyingine ili kuepuka usumbufu.

Hizo driver booster ni mzigo tu na kujaza local disk ya windows
 
  • Thanks
Reactions: aad
aad Mkuu maelezo ya kufany installation huwa yapo katika file humo humo, au kama utaweza screenshot content zilizomo baada ya kulifungua nitajua hapo usome kipi ili ufanye installation mpak licensing.
 
  • Thanks
Reactions: aad
Back
Top Bottom