Nawezaje kupata faida katika biashara ya duka la dawa za binadam ama mifugo?

Riheba

Member
Joined
Sep 6, 2021
Posts
5
Reaction score
6
Habari zenu wana Jf ni matumain yangu kuwa mko salama.

Kama topic inavyojieleza hapo juu naomba msaada wa kujua namna ya kuanzisha, kuendesha faida, changamoto na namna ya kuziepuka ili niweze kudum na kupata faida ktk biashara hiyo ya duka la dawa za binadam ama mifugo.

Sijawah kbs kufnya biashara hii kwahyo sna uzoef wwte wala sijui chochote kuhusu biashara hii.
Ninawaomba wadau woote kwa yyte mwenye uelewa wa chchte au uzoefu wa lolote kuhusu suala hili anisaidie mawazo ili nijue nn napaswa kufanya.
Nimepmbn nimepata kama 3.5M
Je inatosha?
Je naanzaje?.
NAOMBENI MSAADA WENU AHSANTE NA MUNGU AWABARIKI.
KARIBUNI KWA MAWAZO MAONI NA USHAURI ILI TUINUE UCHUMI WA TAIFA LETU

KARIBUNI SANA WAPENDWA.
 
hiyo pesa kafungue genge uuze mboga mboga mkuu, duka la madawa sio mziki wa kitoto, unless iwe ni kijijini
 
Habari zenu wana Jf ni matumain yangu kuwa mko salama.

Kama topic inavyojieleza hapo juu naomba msaada wa kujua namna ya kuanzisha, kuendesha faida, changamoto na namna ya kuziepuka ili niweze kudum na kupata faida ktk biashara hiyo ya duka la dawa za binadam ama mifugo.

Sijawah kbs kufnya biashara hii kwahyo sna uzoef wwte wala sijui chochote kuhusu biashara hii.
Ninawaomba wadau woote kwa yyte mwenye uelewa wa chchte au uzoefu wa lolote kuhusu suala hili anisaidie mawazo ili nijue nn napaswa kufanya.
Nimepmbn nimepata kama 3.5M
Je inatosha?
Je naanzaje?.
NAOMBENI MSAADA WENU AHSANTE NA MUNGU AWABARIKI.
KARIBUNI KWA MAWAZO MAONI NA USHAURI ILI TUINUE UCHUMI WA TAIFA LETU

KARIBUNI SANA WAPENDWA.
Mkuu, llianza hii biashara?
Inaendeleaje?
 
Back
Top Bottom