Nawezaje kupata fedha za kukuza wazo la biashara

Nawezaje kupata fedha za kukuza wazo la biashara

Don arl

Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
39
Reaction score
21
Habari Wana Jamiiforums...
Let's cut to the chase, Nina mawazo mawili ya biashara katika area ya insurance na financial services ,Kwa research tulizofanya yanaweza kusaidia Watanzania kukua kiuchumi kuendana na mabadiliko ya science na technology! So far tumefinance all of the research work on our own. Lakini Kwa Sasa tumefika point ambayo tunahitaji external support! Tunahitaji coders na watu wenye knowledge ya IT, na pia watu wa marketing, Bank Treasurer and insurance experts to give Us more inputs to the work. Mchango wa mawazo ni muhimu zaidi, Lakini pia kitu kikubwa ni fedha za kufinance hizi activities. Kwa yoyote mwenye experience au ufahamu wa Mahali tunaweza Pata funds za Development, naomba msaada! Natanguliza shukrani za dhati.
 
Back
Top Bottom