Nawezaje kupata file la "Trash" kwenye simu yangu Tecno f1

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
967
Reaction score
668
Wakulungwa habari ya muda huu, simu yangu kila nikifuta kitu inaleta disappearing notification "item moved to trash", awali nilidhani mizigo ndio inakuwa deleted for good sasa leo nadelete baadhi ya items inasema "trash full.

If you delete these items you delete them permanently" hapo ndo nilipojua kuwa zile trashes nazifutaga zinajaa mahali na kuendelea kulamba space, so please my people naomben kujua nawezaje kuaccess hilo dampo lililojificha kwa simu yangu nikafute kila kitu permanently!

Natanguliza shukrani.
 
Alternative eka file manager nzuri, halafu kwenye setting weka show hidden files.

Utaliona kwa juu folder la trash, ama search litakuja

Hapo inaweza kuwa system wide trash folder ama app based, mfano hapo Kuna folder la trash la what's app Pia.
 
Ni app gani ya file manager ambayo ni nzuri kwa kuorganize files
MI natumia solid explorer ni ya kulipia,

Kwa Bure tumia xplore, haina Ui ya kisasa Ila ni very powerfull file manager.

Ukishadownload click dots 3 juu kulia Kisha Configuration halafu tick hidden files

Then kwenye menu ya kawaida utaona .trash limetokea
 
ingia google nenda kwenye option ya menu (kushoto juu) uki click hapo utaiona Hy trash then unawez delete
afu option ya kawaida y ku delete kwrny googl photo ipo juu kulia ya item unayo delete
ww badal y ku delete una move to trash
 
Hiyo Google ni Google nini? Google search au nini manake items za Google zipo nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…