Nawezaje kupata hati miliki ya wazo langu na jinsi ya kuwasilisha wazo langu kwenye taasisi za fedha?

sexy body

Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
22
Reaction score
17
Habari zenu wana jf....

Mimi ni mhitimu wa wa chuo cha sokoine university of agriculture katika kutoka katika janga la ukosekanajia wa ajira nilikaa na chini nakupata wazo ambalo ninaweza kulipeleka taasisi kifedh anika liuza tukifikia makubaliano na wakafanya asssesment kama litawalipa nimezingatia kila kitu kuanzia market strategies watakazo tumia ukijumuisha na pia nimeonyesha jinsi watakavyoweza ku deal na na 7ps of service marketing kuanzia ya kwanza hadi ya mwisho....

Dhumuni langu nikuomba msaada kwa jinsi ambavyo naweza pata hati miliki na jinsi ya kuwasilisha wazo langu husika ktk financial institution ambayo nimei target.....

Ninategemea kutoka kwenu wana JF
 
Hii hapa ya Kinyamwezi zaidi, lakini dhana za msingi nyingine zinafanana sehemu nyingi dunia nzima.

Ingefaa wataalamu watusaidie Bongo tukoje.

5 Things You Can't Copyright

by Heleigh Bostwick
Marketing Communications Specialist

5 Things You Can't Copyright

by Heleigh Bostwick, February 2010

So you've written the next hit song, crafted a slogan to sell millions, and even come up with a recipe that puts Iron Chef to shame—the question is, can you copyright them? Learn the five surprising things that you can't copyright (and what you can).

What is protected by copyright?

According to the US Copyright Office, in order for something to qualify for copyright protection, that something must exist in a tangible form. Specifically:
Protection under the copyright law (title 17 of the U.S. Code, section 102) extends only to original works of authorship that are fixed in a tangible form (a copy). “Original” means merely that the author produced the work by his own intellectual effort, as distinguished from copying an existing work. Copyright protection may extend to a description, explanation, or illustration, assuming that the requirements of the copyright law are met.
In other words, that great idea you told your friend about the other day cannot be protected by copyright in and of itself, but if you write that great idea down, the words can be protected.
Still, there's always room for interpretation, confusion, and ongoing debates over what is and isn't protected by copyright law. So below we've outlined five things the US Copyright Office clearly states are not protected by copyright—even if they are a tangible expression of an idea or thought.

What is not protected by copyright?

1. Ideas, Methods, or Systems
Ideas, methods, and systems are not covered by copyright protection. According to the US Copyright Office, Circular 2, this covers quite a few things including making, or building things; scientific or technical methods or discoveries; business operations or procedures; mathematical principles; formulas, algorithms; or any other concept, process, or method of operation.

2. Commonly Known Information
This category includes items that are considered common property and with no known authorship. Examples include standard calendars, height and weight charts, telephone directories, tape measures and rulers, and lists or tables taken from public documents. A phrase such as “The sky is blue” also falls under this category since there is no known authorship associated with it.

3. Choreographic Works
A choreographic work, whether original or not, is not subject to copyright protection unless it has been videotaped or notated. The same applies to speeches that have not been transcribed before or after they are given, as well as any other types of performances.

4. Names, Titles, Short Phrases, or Expressions
Also exempt: names, titles, short phrases, or expressions—such as that catchy slogan you came up with for your business—product descriptions, pseudonyms, titles of works, and business names. The good news is that while they are not protected by copyright, if they pertain to your business (for example, goods and services) they can be protected with a trademark.
Recipes also fall under this category. Specifically the listing of ingredients (even if it's your own recipe ingredients) is not protected by copyright. This applies to formulas, compounds, and prescriptions as well. There are exceptions however, such as when recipes are compiled in a cookbook for instance or if the recipe is accompanied by “substantial literary expression,” a term that refers to text such as directions, or when there is a combination of recipes, there may be a basis for copyright protection.

5. Fashion
Contrary to what you might think, fashion (that is, a shirt, dress, or other article of clothing) is not protected by copyright law. Despite the fact that copyright law protects such things as architectural design works (Circular 41) or works of the visual arts (Circular 40), fashion is all about clothing and accessories, which under copyright law are considered “useful articles." It is possible however, to copyright a specific fabric pattern (Burberry plaids for example), but not the actual dress. And, it should be noted that while designs can't be copyrighted, they can be patented.
For more information please visit:
US Copyright Office
 
Unaliandika then unalipeleka kwamasupervisor as proposal kwa ajili ya assessment, lakini ukiibuka tu na kuwapelekea watu bila wazo kupitishwa na wanazuoni kuweka comments zao,hesabu maumivu utanyanganywa

Na unapoliuza mnakuwepo na hao ma mantor baada ya wazo kuuzika nao watakuwa na hisa yao

Ila ukiuza ndo utafute unaliwa
 
Ulimwengu wa tatu bado ni shida,hawataki theory wanataka uhalisia kwa mfano walikuwa wateja 10 sasa wamefikia 100.Nakushauri jaribu kulifanyia majaribio hilo wazo lako kwenye biashara ya mtaji mdogo,mfano 50,000 n.k mtaji ukikuwa kutokana na utekelezaji wa wazo lako hapo utakuwa umethibisha unachokiwaza kiko sahihi.
 
Huu ndo ushauri sahihi kwa nchi yetu.
 
Si wazo la biashara bt ni service idea inayohusu finsncial institution mf benk
 
Asante sana
 
Nenda Brela kajaribu kusajili business secret wao watakushauri zaidi COSOTA msaada wao ni finyu sana wamejikita zaidi kwenye kazi za sanaa hasa nyimbo na maigizo
 
mkuu hicho unachotaka kufanya mkuu kitakupotezea muda maana hata huko unakotaka kupeleka wakupe hati miliki hawatakusaidia kuilinda ,,, mkuu nachotaka kukwambia tekeleza wazo lako kwa ukubwa na ufahamike kwamba wewe ndiye muhusika

kama kuna jambo ambalo mtu anataka kuiga kutoka kwako na kuna matokeo chanya litaleta ni bora aige ili matokeo chanya yaje kwa wingi kwa mfano ellion musk anasema hawapeleki mahamani wanaojaribu kuiga teknolojia yake ya utengenezaji magari ya umeme ikiwa wanafanya hivyo kwa nia njema cheki hapo https://www.ndtv.com/world-news/elon-musk-releases-all-tesla-patents-to-help-save-the-earth-1986450 .. pia facebook owner ana support developers kutengengeneza program na kuzifanyia majaribio ikiwa ni nzuri ananunua na kuzitumia na anatoa fedha kuweza kuwasaidia


pia kuwa na wazo ni asilimia 1% ya mafanikio ya kibiashara kuna vitu lukuki ambavyo unapaswa kufanya ili hiyo biashara ifaniikiwa.. kwa mfano naweza kutengeneza loly nzuri ya ukwaju kuliko ya AZAM lakini kujenga biashara nzuri ya loly ya ukwaju kama ya kwake ni kazi ambayo mtu wa kawaida huwezi kufanya ,, yeye amepanga watu wa masoko wa uzalishaji wa kila kitu mpaka kupata faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…