Opportunist
Member
- Mar 19, 2009
- 17
- 12
Mitandao inayotoa huduma ya BIS ni mitatu tu kwa hapa Tanzania ni Voda Zain na Zantel, wenye huduma nzuri na bei nzuri ni Zain kwa mwezi wana charge Tsh 35,000/= kuna namna na kujiunga ila kwa sasa nimesahau kidogo, nadhani watakuja wadau wengine watakuelekeza ni namba gani inayotumika kuombea hiyo huduma kwa ZainNaomba ufafanuzi kwa anayejua hili; Kuna utaratibu gani wa kupata huduma ya internet ktk mobile phone aina ya blackberry kwa mtandao wowote (Tigo, Voda, Zain nk)? Unalipia kama unavyolipia maongezi kwa vocha zetu hizi za kawaida au inakuwaje?