Nawezaje kupata kibali cha ufugaji wa mbuni kibiashara?

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Mbuni ni ndege, tena MKUBWA aliyejaa minofu inayovutia. Nimemuangalia na kumtafakari, hakika amenona.

Nimeona huko kwa wenzetu, nyama yake inauzwa bei mbaya na inatajwa kwamba ni nyama yenye viini lishe na virutubisho vingi sana.

Naomba kujuzwa utaratibu wa Mimi kupata kibali halali wa kuwafuga hawa ndege ili niwazalishe na kuwauza nyama yao. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Nyara ya taifa labda ufungue zoo.. Bustani ya wanyama
 
Niliwahi uliza sikupata jibu Kenya pale wanafuga vizuri ndege kama Tausi Tena wanauzwa Kwa bei nzuri tu ya sh 600k Hadi m3 kulingana na breed uitakayo.

Tanzania imejaa wengi sana na ndo wanao tuongoza. Achilia mbali mbuni ukifuga hata kasuku tu utatamani umuue tu uondokane na usumbufu maana Kila muda wanakuja kukagua.
Lakini wazungu,waarabu na wahindi wanafuga Hadi swala sio mapambo tu na kula kabisaa
 
Ninavyopenda kuku sasa nipate ji paja la mbuni sijui kama nitalala hiyo siku kwa raha!

Kila la kheri Mkuu.
 
Mbuni ni ndege, tena MKUBWA aliyejaa minofu inayovutia. Nimemuangalia na kumtafakari, hakika amenona.

Nimeona huko kwa wenzetu, nyama yake inauzwa bei mbaya na inatajwa kwamba ni nyama yenye viini lishe na virutubisho vingi sana.

Naomba kujuzwa utaratibu wa Mimi kupata kibali halali wa kuwafuga hawa ndege ili niwazalishe na kuwauza nyama yao. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Mpigie Kigwangala anaweza kukusaidia, nakutumia PM namba yake
 
Mbuni ni ndege, tena MKUBWA aliyejaa minofu inayovutia. Nimemuangalia na kumtafakari, hakika amenona.

Nimeona huko kwa wenzetu, nyama yake inauzwa bei mbaya na inatajwa kwamba ni nyama yenye viini lishe na virutubisho vingi sana.

Naomba kujuzwa utaratibu wa Mimi kupata kibali halali wa kuwafuga hawa ndege ili niwazalishe na kuwauza nyama yao. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Duniani kuna mengi, tunaanza kutamani paja la mbuni na kulifananisha na la Fatuma!
 
Nenda wizarani mwenyewe kafanye research humu watakukatisha tamaa tu
 
Ninavyopenda kuku sasa nipate ji paja la mbuni sijui kama nitalala hiyo siku kwa raha!

Kila la kheri Mkuu.
Paja la mbuni usilichukulie poa mkuu.

Hivi paja la ndama( ng'ombe mdogo) unaweza kuligonga ukalimaliza peke yako, maana diyo ukubwa wake huo!

Labda ulihifadhi kwenye frizzer ulilambe kidogo kidogo kwa mwezi mzima!
 
Yani hapa ndio umenipa wazimu, maana nimeanza kufikiria nitakavyoligawa nilipike makange, changamoto ya vitunguu, nilichome! Dah
 
NI roho ya ufukara kukatisha tamaa ndoto za MTU, tena ni uchawi grade one kabisa.

Kila siku zoo zinafungiliwa, hawa wanapata vibali vyao mbinguni au ahera?
We unafikiri zoo ni kw ajili ya kufuga na kuuza hao wanyam kama mbuzi wa bibiko?
 
Back
Top Bottom