KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Kwani utaratibu wa kupata kibali Cha kufuga wanyama pori kwa ajili ya kitoweo ukoje?Vibali hamna labda uwe Mwarabu, tena wa Dubai
NI roho ya ufukara kukatisha tamaa ndoto za MTU, tena ni uchawi grade one kabisa.Vibali hamna labda uwe Mwarabu, tena wa Dubai
Nyara ya taifa labda ufungue zoo.. Bustani ya wanyamaMbuni ni ndege, tena MKUBWA aliyejaa minofu inayovutia. Nimemuangalia na kumtafakari, hakika amenona.
Nimeona huko kwa wenzetu, nyama yake inauzwa bei mbaya na inatajwa kwamba ni nyama yenye viini lishe na virutubisho vingi sana.
Naomba kujuzwa utaratibu wa Mimi kupata kibali halali wa kuwafuga hawa ndege ili niwazalishe na kuwauza nyama yao. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Kipindi cha mwendazake kulikuwa na vibali vinatolewa kwa wanaotaka kufuga wanyama pori kwa ajili ya kitoweo (butchery)Nyara ya taifa labda ufungue zoo.. Bustani ya wanyama
Niliwahi uliza sikupata jibu Kenya pale wanafuga vizuri ndege kama Tausi Tena wanauzwa Kwa bei nzuri tu ya sh 600k Hadi m3 kulingana na breed uitakayo.
Tanzania imejaa wengi sana na ndo wanao tuongoza. Achilia mbali mbuni ukifuga hata kasuku tu utatamani umuue tu uondokane na usumbufu maana Kila muda wanakuja kukagua.
Lakini wazungu,waarabu na wahindi wanafuga Hadi swala sio mapambo tu na kula kabisaa
Mpigie Kigwangala anaweza kukusaidia, nakutumia PM namba yakeMbuni ni ndege, tena MKUBWA aliyejaa minofu inayovutia. Nimemuangalia na kumtafakari, hakika amenona.
Nimeona huko kwa wenzetu, nyama yake inauzwa bei mbaya na inatajwa kwamba ni nyama yenye viini lishe na virutubisho vingi sana.
Naomba kujuzwa utaratibu wa Mimi kupata kibali halali wa kuwafuga hawa ndege ili niwazalishe na kuwauza nyama yao. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Duniani kuna mengi, tunaanza kutamani paja la mbuni na kulifananisha na la Fatuma!Mbuni ni ndege, tena MKUBWA aliyejaa minofu inayovutia. Nimemuangalia na kumtafakari, hakika amenona.
Nimeona huko kwa wenzetu, nyama yake inauzwa bei mbaya na inatajwa kwamba ni nyama yenye viini lishe na virutubisho vingi sana.
Naomba kujuzwa utaratibu wa Mimi kupata kibali halali wa kuwafuga hawa ndege ili niwazalishe na kuwauza nyama yao. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Aiseee....Duniani kuna mengi, tunaanza kutamani paja la mbuni na kulifananisha na la Fatuma!
Paja la mbuni usilichukulie poa mkuu.Ninavyopenda kuku sasa nipate ji paja la mbuni sijui kama nitalala hiyo siku kwa raha!
Kila la kheri Mkuu.
Yani hapa ndio umenipa wazimu, maana nimeanza kufikiria nitakavyoligawa nilipike makange, changamoto ya vitunguu, nilichome! DahPaja la mbuni usilichukulie poa mkuu.
Hivi paja la ndama( ng'ombe mdogo) unaweza kuligonga ukalimaliza peke yako, maana diyo ukubwa wake huo!
Labda ulihifadhi kwenye frizzer ulilambe kidogo kidogo kwa mwezi mzima!
We unafikiri zoo ni kw ajili ya kufuga na kuuza hao wanyam kama mbuzi wa bibiko?NI roho ya ufukara kukatisha tamaa ndoto za MTU, tena ni uchawi grade one kabisa.
Kila siku zoo zinafungiliwa, hawa wanapata vibali vyao mbinguni au ahera?
Kuna mashamba ya wanyapori ambayo sio mbuga na wala sio zooWe unafikiri zoo ni kw ajili ya kufuga na kuuza hao wanyam kama mbuzi wa bibiko?
YummyYani hapa ndio umenipa wazimu, maana nimeanza kufikiria nitakavyoligawa nilipike makange, changamoto ya vitunguu, nilichome! Dah
Maskini walinyimwa. Sisi tuliomba kibali tufanye maonesho ya kazi za kishirikina tukanyimwaKipindi cha mwendazake kulikuwa na vibali vinatolewa kwa wanaotaka kufuga wanyama pori kwa ajili ya kitoweo (butchery)